• warning: Creating default object from empty value in /home/simba10/public_html/modules/taxonomy/taxonomy.pages.inc on line 34.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter::options_validate() should be compatible with views_handler::options_validate($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter.inc on line 589.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter::options_submit() should be compatible with views_handler::options_submit($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter.inc on line 589.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter_boolean_operator::value_validate() should be compatible with views_handler_filter::value_validate($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter_boolean_operator.inc on line 149.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_row::options_validate() should be compatible with views_plugin::options_validate(&$form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_row.inc on line 135.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_row::options_submit() should be compatible with views_plugin::options_submit(&$form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_row.inc on line 135.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_style_default::options() should be compatible with views_object::options() in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_style_default.inc on line 25.

Club News

News belongs to club

Simba B bingwa Kinesi

Simba B bingwa Kinesi Cup

Sunzu, Uli, nje mechi ya Coastal Union

WACHEZAJI wawili wa Simba, Ulimboka Mwakingwe na Felix Sunzu, hawatacheza katika pambano la kesho dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Imefahamika.

Edo ataisadia sana Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Milovan Cirkovic, amesema ana matumaini mshambuliaji Edward Christopher atakuja kuipa klabu yake mataji mengi katika siku zijazo.

Sunzu ni mpiganaji

MILOVAN Cirkovic amesema kitu ambacho kimemkosha zaidi kuhusu Felix Sunzu ni namna anavyojituma uwanjani na wala si magoli ambayo amepachika hivi karibuni.

Nimefurahi kutoruhusu bao

KOCHA Mkuu wa Simba, Milovan Cirkovic, amesema amefurahi timu yake kutinga nusu fainali, lakini akasema amefurahi zaidi kwa wavu wa Wekundu wa Msimbazi haukutikiswa dhidi ya KMKM.

Simba yatinga Nusu Fainali

SIMBA leo imekuwa timu ya mwisho kufuzu kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga KMKM ya Zanzibar kwa mabao 2-0.

Jamhuri 2 Simba 1

SIMBA leo imeanza vibaya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa na Jamhuri ya Pemba mabao 2-1 katika pambano kali lililofanyika katika Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.

Leo ni Simba na Jamhuri

SIMBA leo inaanza harakati za kutetea ubingwa wake wa Kombe la Mapinduzi kwa kucheza na Jamhuri ya Pemba katika pambano lililopangwa kufanyika katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

Shukrani kwa Ngome Zanzibar

KLABU ya soka ya Simba inatoa shukrani zake za dhati kwa uongozi na wadau wa timu ya soka ya Ngome ya Zanzibar kwa kuendelea na mahusiano mema baina ya pande hizi mbili.

Uli arejea jezi namba 14

ULIMBOKA Mwakingwe sasa atakuwa akivaa jezi namba 14 ambayo alikuwa akiivaa kwa muda wa takribani miaka minane ya utumishi wake katika timu ya Simba.

Syndicate content