• warning: Creating default object from empty value in /home/simba10/public_html/modules/taxonomy/taxonomy.pages.inc on line 34.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter::options_validate() should be compatible with views_handler::options_validate($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter.inc on line 589.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter::options_submit() should be compatible with views_handler::options_submit($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter.inc on line 589.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter_boolean_operator::value_validate() should be compatible with views_handler_filter::value_validate($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter_boolean_operator.inc on line 149.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_row::options_validate() should be compatible with views_plugin::options_validate(&$form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_row.inc on line 135.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_row::options_submit() should be compatible with views_plugin::options_submit(&$form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_row.inc on line 135.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_style_default::options() should be compatible with views_object::options() in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_style_default.inc on line 25.

Club News

News belongs to club

Maftah: Niko tayari hata kesho

NYOTA wa Simba, Amir Maftah Mrisho, amesema anajisikia vizuri kiafya hivi sasa kiasi kwamba anajiona ana uwezo wa kucheza na timu yoyote “hata kesho.”

Simba yaingia kambini Bamba

KIKOSI cha Simba kimeingia kambini leo tayari kwa maandalizi ya mpambano wa Kombe la Shirikisho (CAF) kati yake na Kiyovu Sport ya Rwanda.

Simba yatoka sare na Kiyovu

SIMBA leo imetoka sare ya bao 1-1 na timu ya Kiyovu ya Rwanda katika mchezo mkali wa michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF) uliofanyika katika Uwanja wa Nyamirambo jijini Kigali.

Nyoso: Mabadiliko ya uwanja hautubabaishi

NAHODHA msaidizi wa Simba, Juma Said Nyoso, amesema wachezaji wenzake hawajababaishwa na hatua ya kubadili uwanja utakaotumika kwenye mechi dhidi ya Kiyovu.

 

Milovan: Watatu wako tayari kucheza Ulaya

KOCHA Mkuu wa Simba, Milovan Cirkovic, anaamini kuwa wachezaji wake watatu wako tayari kucheza katika timu kubwa za bara la Ulaya, huku wengine wawili wakinyatia kwa karibu.

Jonas: Safari ndiyo kwanza inaanza

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude Gerald, ameeleza kufurahishwa kwake na kuitwa kwenye kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na amesema hatavimba kichwa kwa mafanikio aliyoyapata

Simba kidedea Taifa Stars

KLABU ya Simba imeaongoza kwa kutoa wachezaji wengi kwenye kikosi cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kilichotangazwa na Kocha Mkuu, Jan Borge Poulsen.

Uwanja wa mechi ya Simba wabadilishwa

SHIRIKISHO la Soka la Rwanda (FERWAAFA), limebadili uwanja utakaotumika kwenye mechi dhidi ya Simba SC.

Simba yaenda Kigali

SIMBA imeondoka jijini Dar es Salaam leo kwenda Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wa michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF), dhidi ya Kiyovu Sport.

Syndicate content