• warning: Creating default object from empty value in /home/simba10/public_html/modules/taxonomy/taxonomy.pages.inc on line 34.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter::options_validate() should be compatible with views_handler::options_validate($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter.inc on line 589.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter::options_submit() should be compatible with views_handler::options_submit($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter.inc on line 589.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter_boolean_operator::value_validate() should be compatible with views_handler_filter::value_validate($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter_boolean_operator.inc on line 149.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_row::options_validate() should be compatible with views_plugin::options_validate(&$form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_row.inc on line 135.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_row::options_submit() should be compatible with views_plugin::options_submit(&$form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_row.inc on line 135.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_style_default::options() should be compatible with views_object::options() in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_style_default.inc on line 25.

Club News

News belongs to club

Simba yajifua Setif

TIMU ya Simba leo imefanya mazoezi katika Uwanja wa Mei 8, 1945, ambao utatumika kwa mechi ya Kombe la Shirikisho (CAF) baina ya Wekundu wa Msimba na ES Setif ya Algeria.

Simba Yatua Setif

Simba yatua Setif

·      Yafikia kwa Zidane

·      Waarabu wazugwa na suti

Kaburu: Sasa tunaelekeza nguvu kwenye VPL

MAKAMU Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange, amesema mara baada ya ushindi wa jana dhidi ya ES Setif kwenye Kombe la CAF jijini Dar es Salaam, timu yake sasa inaelekeza nguvu zake kwenye Ligi Kuu

Machaku: Uwezo upo, niaminini tu

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Machaku Salum, amewataka wapenzi na washabiki wa klabu yake kuzidi kumwamini ili apate nafasi zaidi ya kuonyesha uwezo wake.

Milovan: 1-0 tu ingetosha

KOCHA Mkuu wa Simba, Milovan Cirkovic, amesema kama timu yake ingeibuka na ushindi wa goli 1-0 katika pambano dhidi ya ES Setif jana, bado angefurahi.

Simba 2 ES Setif 0

SIMBA SC leo imeifunga ES Setif kutoka Algeria 2-0 katika mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho (CAF) uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Rage: Tushangilie, tusifanye fujo

MWENYEKITI wa Simba, Mhe; Ismail Aden Rage (Mb), amewataka wana Simba kujitokeza kwa wingi kuishangilia klabu yao katika mchezo dhidi ya ES Setif uliopangwa kufanyika mwishoni mwa wiki.

ES Setif waishukuru Simba

KOCHA Mkuu wa ES Setif, Alain Geiger, raia wa Uswisi, amesema klabu yake haina malalamiko yoyote kuhusu namna walivyohudumiwa hapa nchini.

Sunzu: Waleteni hao waarabu

MSHAMBULIAJI nyota wa Simba, Felix Sunzu, amesema anaitamani sana mechi ya Kombe la CAF baina ya klabu yake na ES Setif kwa vile ni aina ya mechi wanasoka mahiri wanataka kuzicheza.

Milovan: Tuko tayari

KOCHA Mkuu wa Simba, Milovan Cirkovic, amesema vijana wake wako tayari kwa ajili ya pambano la kesho dhidi ya ES Setif ya Algeria.

Syndicate content