• warning: Creating default object from empty value in /home/simba10/public_html/modules/taxonomy/taxonomy.pages.inc on line 34.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter::options_validate() should be compatible with views_handler::options_validate($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter.inc on line 589.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter::options_submit() should be compatible with views_handler::options_submit($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter.inc on line 589.
  • strict warning: Declaration of views_handler_filter_boolean_operator::value_validate() should be compatible with views_handler_filter::value_validate($form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/handlers/views_handler_filter_boolean_operator.inc on line 149.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_row::options_validate() should be compatible with views_plugin::options_validate(&$form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_row.inc on line 135.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_row::options_submit() should be compatible with views_plugin::options_submit(&$form, &$form_state) in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_row.inc on line 135.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Non-static method view::load() should not be called statically in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/views.module on line 879.
  • strict warning: Declaration of views_plugin_style_default::options() should be compatible with views_object::options() in /home/simba10/public_html/sites/all/modules/views/plugins/views_plugin_style_default.inc on line 25.

Club News

News belongs to club

Shiboli airejesha Simba kileleni

Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara Wekundu wa Msimbazi Simba wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara kufuatia ushindi iliyoupata mbele ya maafande wa Ruvu Starz ya

Simba kuwaondoa mabingwa wa Comoro

Wawakilishi wa Tanzania kwenye ligi ya mabingwa barani Africa Wekundu wa msimbazi Simba wako tayari kuwaondoa mabingwa wa Comoro Club Elan de Mitsodje kwenye mchezo wa marudiano utakaochezwa Jumapili

Mgoso na usongo wa magoli

Mabao mawili yaliyofungwa na Mussa Hassan Mgosi yalitosha kuipa ushindi wa mabao 2-0 Simba ya Dar es Salaam.

Simba yazidi kujikita kileleni

Mabao mawili yaliyofungwa na Mussa Hassan Mgosi yalitosha kuipa ushindi wa mabao 2-0 Simba ya Dar es Salaam. Simba ambao ni mabingwa watetezi walionesha kudhamilia kulipa Kisasi mbele ya Polisi ambao kwenye mchezo wa kwanza waliwafunga bao 1-0 mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma iliwalazimu Simba kusubiri mpaka kipindi cha pili kuhesabu mabao hayo mawili yaliyowarudisha kileleni mwa msimamo wa ligi kuu.

Simba aunguruma

Syndicate content